ATCL Yapata Hasara ya Bilioni 60 – Video
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Serikali, Charles Kichere amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetengeneza hasara ya Shilingi bilioni 60 kwa mwaka na kwa kipindi chote cha miaka ya nyuma shirika hilo limekuwa likijiendesha…
