Lita 4,000 za Diesel Zaibiwa Mradi wa Reli ya SGR
JESHI la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata Lita 4,135 za mafuta aina ya Diesel ambazo zinadaiwa kuibiwa kutoka kwenye Mradi wa ujenzi wa reli ya Kisasa (SGR) eneo la Malampaka Wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu.
Kupitia msako mkali…
