Jennifer Mgendi: Maumivu Ya Kufiwa na Mume Hayabebeki
JENNIFER MGENDI; ni Staa mkubwa wa Muziki wa Gospel nchini Tanzania na mwigizaji mkali wa Bongo Movies ambaye amekumbusha mashabiki wake machungu.
Mgendi amekumbushia maumivu aliyoyapata baada ya kufiwa na mumewe, Dk Job…
