Wawili kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Quran Afrika
Watanzania wawili wamekabidhiwa bendera ya Taifa ili kuiwakilisha nchi katika mashindano makubwa ya 19 ya kusoma na kuhifadhi Quran tukufu Afrika yatakayofanyika nchini.
Akikabidhi bendera hiyo Meya wa Manispaa ya Temeke,…
