Breaking: CCM Yaibuka Kidedea Arusha Mjini – Video
MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kata 24 kati ya 25 za udiwani katika jimbo hilo.
Aidha, upande wa ubunge, tume bado inaendelea na majumuisho ya kura, na…
