Dogo Janja, Chege, JB Wasimulia Walichokiona Amboni – Video
BAADHI ya wasanii wa tasnia mbalimbali nchini zikiwemo Bongo Fleva na Bongo Movies, wameungana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, kutembelea Mapango ya Amboni yaliyoko mkoani Tanga, kwa ajili ya…
