NIMEKUWEKEA VICHEKESHO ‘VINAVYOPENDWA’ MTAANI KWETU
Huku mtaani maisha magumu mpaka jamaa ananiuliza: "Hivi luku haina kifurushi cha chuo?”
Mlevi kakutwa akikojoa eneo la shule, Mwalimu Mkuu akamuuliza, hilo bango hapo limeandikwaje?
Mlevi akajibu: “USIKOJOE HAPA.”…
