Jaymond, Mr Beneficial, Coy Mzungu kufunga mwaka na ‘CHEKA TU’ – VIDEO
Muanzilishi wa Shoo ya 'CHEKA TU' akiwa pamoja na wachekeshaji wenzake wametangaza kufanya shoo ya kufungia mwaka itakapofika Desemba 28.
Akizungumza kwa niaba ya wenzake Muanzilishi, Coy Mzungu, amesema mashabiki ao wajiandae kuvunja…
