MUVI YA CHEMICAL, WEMA YAZUA JAMBO
HIVI karibuni rapa wa kike kunako Muziki wa Bongo Fleva, Claudia Lubao ‘Chemical’, aliweka kwenye Mtandao wa YouTube, vipande vya filamu yake iitwayo Mary Mary, ambayo ameigiza akiwa na mrembo, Wema Sepetu na kuzua jambo baada ya…
