Chemical Ft Msaga Sumu – Kama Ipo Ipo Tu (Official Video)
RAPA wa kike anayekimbiza hapa Bongo, maarufu kwa jina la Chemical, jana ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Kama Ipo Ipo Tu’ ambao ndani yake amemshirikisha staa wa muziki wa singeli, Msaga Sumu.Audio ya wimbo huo imeandaliwa na…
