Muuza Mitumba Ashinda 500,000 Chemsha Bongo Na Amani
Mfanyabiashara wa Mitumba, Sikitu Piallo akiwa katika pozi.MWANAMAMA, Sikitu Piallo (29) Mkazi wa Kantalamba-Sumbawanga mkoani Rukwa ambaye ni muuza mitumba, ameshinda shilingi 500,000 katika chemsha bongo ya kwenda Dubai inayotolewa na…
