MAGUFULI AONGOZA WAKATOLIKI KUAGA MWILI WA ASKOFU CHENGULA
Rais John Magufuli leo Novemba 26, 2018 ameungana na maaskofu, mapadri, watawa na waumini wa Kanisa Katoliki kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Mbeya Mhashamu Askofu Evaristo Chengula aliyefariki dunia …
