Katavi: Jela Miaka 23 kwa Wizi wa Cheti cha Kidato cha Nne
Mahakama ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu kwenda jela miaka 23 mkazi wa Kijiji cha Kalovye, Osward Mpalasinge (26) baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja nyumba na kuiba vitu mbalimbali ikiwemo cheti cha kidato cha nne.…
