Huyu Ndo Demu wa Staa Anayependa Kukaa Uchi!
LONDON, England: MR EMBO Sarah Kohan ambaye ni mpenzi wa straika wa West Ham, Javier Hernandez ‘Chicharito’, amepiga picha akiwa uchi huku akiinadi mimba yake mpya.
Sarah ameshaeleza mara kadhaa kwamba kukaa uchi ndiyo furaha…
