The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

chid mapenzi

Shamsa: Huu ni Mwaka Wa Mtoto

HUKU ndoa yake na mfanyabiashara Rashidi Said ‘Chid Mapenzi’ ikiwa na mwaka mmoja na miezi minne bila kupata mtoto, staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibuka na kufunguka kuwa mwaka huu wa 2018 ndiyo wa kupata mtoto.…

Shamsa Adaiwa Kumfirisi Mumewe

STORI: Gladness Mallya na Hamida Hassan | RISAIS JUMAMOSI DAR ES SALAAM: Ikiwa ni miezi nane tu imepita tangu aingie kwenye ndoa, staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford anadaiwa kumfilisi mumewe, Rashid Said ‘Chid…