Chifu wa Masela atinga na nyumba, simu, TV
SHABIKI namba moja wa FC Kauzu, Ally Omary ‘Chifu wa Masela’ amezidi kuwa kivutio katika mashindano ya Sport Extra Ndondo Cup baada ya juzi kutinga uwanjani akiwa amebebwa ndani ya kibanda chenye muonekano kama wa nyumba kikiwa na…
