Watoto wa Mzee Yusuf: Yupo Wapi Mama?
HAKIKA ni huzuni! Zikiwa zimepita siku kumi tangu apate pigo la kufiwa na mkewe mdogo, Chiku Khamis, aliyekuwa Mfalme wa Taarab Bongo na Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern, Alhaj Mzee Yusuf kwa mara ya kwanza ameibuka na kueleza jinsi…
