Q Chillah, Snura ‘Live’ Tamasha la Full Dozi Dar Live
KITANUKA! WAKALI wawili wasioshikika kunako gemu ya Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ na Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ wanatarajiwa kuungana na wakali wengine kibao katika Tamasha la Full Dozi litakalofanyika Jumamosi hii…
