China Inakabiliwa na Shinikizo kwa Umoja wa Mataifa Kuchukua Hatua Baada ya Ripoti ya Xinjiang
WANADIPLOMASIA na watetezi wa haki za binadamu wanazidisha shinikizo kwa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua juu ya jinsi China inavyowatendea Waighur na makabila mengine yenye Waislamu wengi, huku Beijing ikijaribu kufanya uchunguzi zaidi…
