Makamu wa Rais Aliyegomea Mawaziri Kutibiwa Nje, Augua, Apelekwa China
Makamu wa Rais Zimbabwe, Jen. Mst. Dkt. Constantino Chiwenga amesafirishwa kwa ndege kwenda China jana jioni kufuatia hali yake ya kiafya kuwa mbaya. Hii ni siku chache baada ya Chiwenga kutangaza kuwa Serikali haitagharimikia matibabu…
