Wimbo Mpya Wa Darassa, ‘Tofauti’ Usikilize Hapa
Ukimya wa Darassa umevunjwa na wimbo wake mpya wa 'Tofauti'
Ameandika katika ukurasa wake wa instagram, "The waiting is over! Hapa leo kuna zawadi mbili kwa watu wangu msimu huu wa skukuu! Wote tuna jua utaratibu…
