Kimanga Waapa Kuondoka na Ndinga Mpya ya Championi & Spoti Xtra
WASOMAJI wa magazeti ya michezo maeneo ya Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi, Machi 12, 2020, wamemiminika kama njugu huku wakigombea kununua gazeti bora la michezo nchini, Spoti Xtra, na kushiriki bahati nasibu kubwa ya…
