Chongo – 29
Ilipoishia WIKI ILIYOPITA
“Mbona uko kimya sana, naona unazungusha kichwa tu, vipi?” Sule alimshtua mpenzi wake wakiwa wamekaa pembeni ya ua huo, wamejitenga na wengine, mwanaume huyo akinywa bia na Mwani akiendelea na kinywaji chake.…
