The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

chongo 31

chongo -32

Ilipoishia wiki iliyopita Saa mbili za usiku, Mwani na Jully walitoka, wote wakiwa wamevaa kaptura za jinzi na fulana zinazobana, nyeusi, wakazunguka nyumba mbili tatu, wakatokezea nyuma, sehemu ilipo chemba inayotokezea nyumba wanayoishi…

chongo -31

Ilipoishia wiki iliyopita: “Hapana, mimi naona tukutane na wadau wetu Jully na Mwani tupange namna ya kuifanya hii kazi haraka, maana naona kama tunaweza kuwahiwa, sina amani kabisa aisee,” Bata alimweleza mpenzi wake. Sasa endelea…