The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

chongo!

Chongo – 27

Ilipoishia wiki iliyopita Katika watu waliokuwa ndani ya baa hiyo, akina Bata hawakuweza hata kumhisi kijana anayemsubiri Mwani, na walipomuona akija kwa madaha, wakajifanya kutokuwa na habari naye. Mtu mgeni asingeweza kujua kama…

Chongo! 26

ILIPOISHIA Mwani alikuwa kwenye korongo lililo umbali wa kutupa jiwe kutoka nyumbani kwao, eneo ambalo kwa zaidi ya miaka kumi hakuwahi kufika. Akiwa amevaa kaptura ya Jeans nyeusi na kitop cheusi pia, alienda na kukaa chini ya mti ambao…

Chongo!-25

Ilipoishia wiki iliyopita “Sasa dada Mwani tukusikilize ili utueleze jinsi gani huu mchezo unavyoweza kufanyika na kutuwezesha kufikia malengo bila kuacha alama nyuma yetu,” Bata alianzisha mazungumzo huku wasichana hao watatu wakionekana…

Chongo – 21

Ilipoishia wiki iliyopita “Ndiyo hivyo, kitu tunachoweza kukifanya kwa sasa, ni kurudi Bongo kwa muda, maana watanitafuta sana, sasa kwa kuwa niliyemuua anajulikana sana hapa, itatusumbua, wakinikamata mimi, nyinyi hamtapona,” Sule…

Chongo!-20

Ilipoishia wiki iliyopita Alimpiga pigo moja tu shingoni na Bonviek, akaanguka bila hata mwenye duka kujua kama kulikuwa na mtu ameanguka. Kisha akawakonyeza akina Jerry na kutoka taratibu na kutokomea. Kuona hivyo, kina Jerry nao…

Chongo!-19

Ilipoishia wiki iliyopita. Ufunguaji wa mlango na jinsi Jerry alivyoingia uliwafanya waamini kabisa pale ndipo alipokuwa anaishi. Nao wakageuza pikipiki na kutokomea! Sasa endelea... Bata alirudi nyumbani kwake akiwa na mawazo mengi,…

Chongo!-13

Ilipoishia wiki iliyopita Akainuka kutoka katika kiti alichokalia akaingia ndani ya kontena, akaitega vizuri simu yake kabla ya kumpiga picha mbili tatu bila mwenyewe kujijua. Sasa endelea... Lakini ghafla akabadili nia ya kwenda,…

Chongo!-12

Ilipoishia wiki iliyopita “Shule, wewe tulisoma wote primary,” msichana huyo alitoa jibu ambalo lilimchanganya Bata, kwani hakukumbuka kama amewahi kusoma shule. Sasa endelea.. “Tumesoma wote, shule gani,” Bata aliuliza kwa shauku,…

Chongo!-16

Ilipoishia toleo lililopita Mtu huyo akampita na mbele kidogo akaingia ndani ya jengo hilo lenye ghorofa kumi. Alimtazama hadi alipoingia ndani ya lifti na kupanda juu, akimuacha Chongo akiwa ametahayari! Sasa endelea... Akili ya Chongo…

Chongo!-15

Ilipoishia wiki iliyopita Nesi huyo akashika kidude kinachoendesha kompyuta iliyokuwa mbele yake, akabonyeza bonyeza vitufe kadhaa na akaelekeza macho yake kwa umakini kusoma kilichoandikwa ndani.Sasa endelea... Akatazama vizuri zaidi…

Chongo!-14

Ilipoishia wiki iliyopita Wakambeba na kumkimbiza katika gari la polisi lililokuwa linasubiri majeruhi. Mara moja dereva akapiga moto na safari ya hospitalini ikaanza. Sasa endelea... Gari lilikwenda kasi sana na dakika kumi baadaye,…

Chongo!-13

Ilipoishia wiki iliyopita Wakati wakirejea, Noel akiwa kwenye usukani, walienda vizuri hadi walipofika njia panda ya Mbuyuni, wakitaka kuingia katika Barabara ya Bagamoyo. Lori moja kubwa, ghafla lilionekana kupoteza mwelekeo, likalifuata…

Chongo!-12

Ilipoishia wiki iliyopita “Safi sana, hebu tuambie ulikuwa unakaa wapi? Noel alimwuliza Bata, ambaye hadi wakati huo walikuwa hawajui jina lake. “Kwani hapa tulipo ni wapi?” Bata aliwauliza akionekana kuwa na hamu sana ya kujua! “Hapa ni…

Chongo!-10

Ulipoishia wiki iliyopita “Yes, yupo kijana mmoja alikuwa amejeruhiwa sana, nafikiri na watu waliotaka kumuua, alikuwa hapa kwa siku tisa, leo ana wiki tangu tumtoe kumpeleka Mwaisela,” Dokta Jenny alimwambia Innocent akimuonesha picha ya…