The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

choo

Jamaa Anusurika Kifo Akijisaidia

JAMAA mmoja amenusurika kifo kwa tundu la sindano baada ya mti kuangukia choo cha rununu (choo kinachohamishika) alimokuwa akijisaidia. Jamaa huyo alikwama ndani ya choo cha rununu siku ya Ijumaa, Aprili 30, 2021 baada ya kuangukiwa na…