Akutwa na Hatia ya Kumuua Mke Wake Miaka 40 Iliyopita
MWANAUME wa Australia anayefahamika kwa jina la Chris Dawson amepatikana na hatia ya kumuua mkewe miaka 40 iliyopita baada ya podikasti maarufu kuanzisha uchunguzi mpya wa Polisi.
Chris Dawson, 74, alituhumiwa kumuua…
