Chrissy Teigen aonesha mwanaye
Chrissy Teigen
MWANAMITINDO Chrissy Teigen, juzi kati aliwaonesha mashabiki wake mwanaye aliyempa jina la Luna Simone Stephens ambaye alijifungua April 14, mwaka huu.
Chrissy amekuwa tofauti na mastaa wengine kwani ilitegemewa kuwa…
