Barcelona Yakamilisha Usajili wa Christensen pamoja na Kessie, Wote walikuwa Wachezaji Huru
KLABU ya Barcelona ya nchini Hispania imekamilisha usajili wa wachezaji Andreas Christensen beki wa kati aliyemaliza mkataba wake akiwa na klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza pamoja na Franck Kessie aliyemaliza muda wake akiwa na klabu…
