Christina Mughwai Lissu afariki dunia
Christina Mughwai Lissu enzi za uhai wake.
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoani Singida, Christina Mughwai Lissu (CHADEMA) amefariki dunia leo kwa ugonjwa wa kansa. Alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es…
