CCM yanyakua ubunge jimbo la Masasi
Mbunge Mteule wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CCM, Bw. Rashid Chuachua.
Chama cha Mapinduzi kimeweza kutetea jimbo lake la Masasi katika uchaguzi ulifanyika jana baada ya kuahirishwa Okt. 25 mwaka huu kutokana na kifo cha aliyekuwa…
