Chuchu Hans: La kuolewa halipo akilini mwangu!
KAMA kawaida kwenye kolamu hii tunawaletea mastaa mbalimbali na kuwabananisha kwa maswali kumi. Leo tunaye staa wa filamu Bongo Chuchu Hans ambaye anabanwa na Mwandishi Wetu Mayasa Mariwata, ikawa hivi;
Ijumaa: Ningependa kujua ukiwa…
