Chuji Awachana Wachezaji Yanga SC
BAADA ya Yanga kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba, kiungo wa zamani wa timu hiyo, Athuman Idd ‘Chuji’, amewachana wachezaji wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa hawaijui thamani ya klabu hiyo ndiyo maana wanacheza chini ya kiwango.…
