MKEO SIKUMWITA, ALIKOSEA MLANGO
VYOMBO vimetupwa nje na baba mwenye nyumba. Si kwamba eti sijalipa kodi, la hasha! Ni sababu ndogo ya kipuuzi imepelekea yote haya. chondechonde baba mwenye nyumba, mkeo sikumwita.
Saa nane usiku nikiwa nimelala katika…
