Ulaji wa vyakula vya mafuta, chumvi nyingi unahatarisha maisha
Leo tutazungumzia ulaji hasa wa vitu vya mafuta. Mafuta ni suala muhimu sana mwilini ila ulaji wake sharti uwe wa mpangilio yaani unaowiana.
Lazima mtu uwe na wastani mzuri wa vyakula vya kutia nguvu mwilini, yaani “wanga” ambavyo ni…
