Spika Dkt. Tulia Awataka Wananchi Chunya Kuiunga Mkono Serikali ya Rais Samia
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackaon (Mb), amewataka Wananchi kuendelea kuiunga mkono Serikali kwa kushiriki kwenye shughuli mbalimbali za maendeleo katika maeneo yao na si kuiachia…
