Watafiti ARU Wabaini Fursa Kwenye Majitaka na Kinyesi
WATAFITI wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wamebaini fursa mbalimbali zilizoko kwenye majitaka ya vyooni na kinyesi cha bindamu.
Fursa hizo ni gesi ya majumbani, mbolea na maji ya kumwagilia mashambani ambayo yamesafishwa kutokana na…
