Diwani wa Magomeni, Mmliki Shule za Green Acres, Afariki Dunia
ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Magomeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmiliki wa shule za Green Acres, Julian Bujugo, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 18, 2018.
Bujugo alikuwa pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na…
