Shigongo Awatia Moyo Wanafunzi Vyuo Vikuu Dar
MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group na Mhamasishaji Maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo amewaasa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo vyuo vikuu vya jijini Dar es Salaam, kutokukata tamaa katika kutafuta…
