Kaka wa Kim Jong-un Aliyeuawa, Alikuwa Jasusi wa CIA
IMERIPOTIWA kwamba kaka wa kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, aliyeitwa Kim Jong-nam aliuawa kwa sumu akiwa safarini nchini Malaysia mwaka 2017, baada ya kubainika kuwa ni jasusi wa shirika la ujasusi la Marekani CIA.…
