Rais Ajiuzulu Siku Moja Baada ya Kuapishwa
ALIYETANGAZWA kuwa rais wa mpito wa Guinea-Bissau, Cipriano Cassama, amejiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa siku moja akidai maisha yake na ya familia yake yapo hatarini.
Amesema amepokea vitisho vya kifo na anaona usalama wake upo…
