CLASS 2: Barnaba ‘Amenipiga’
MSANII chipukizi wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya Kidogo, Shedrack Allam ‘Class 2’ amedai kupigwa na msanii wa Bongo Fleva, Barnaba Elias ‘Barnaba Boy’.
Msanii huyo baada ya kufanya wimbo wake huo wa Kidogo…
