Mshahara wa Luis Kufuru Bongo, Saido Anasubiri
KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, ndiye anayeongoza kukunja mshahara mkubwa kwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu Bara msimu huu.
Inaelezwa kuwa, kiungo huyo anayetumia zaidi mguu wa kushoto,…
