Clinton Anaongoza kwa Zaidi ya Kura 2m Dhidi ya Trump
Uongozi wa aliyekuwa mgombea urais wa chama cha Democratic Hillary Clinton dhidi ya Donald Trump wa Republican katika kura za kawaida umeongezeka hadi kura milioni mbili.
Rais Mteule Bw Trump alishinda uchaguzi huo wa urais uliofanyika…
