Mumewe Kuibuka na Mke Mwingine, Mke wa Cloud Afunguka Mazito!
Baada ya staa wa filamu za Kibongo, Issa Mussa ‘Cloud 112’ kutinga Bongo akitokea Sweden akiwa na mke mwingine anayetambulika kwa jina la Amina ‘Mina Baby’, mkewe wa zamani Cynthia ameibuka na kufunguka mazito.
…
