Moto Uliozuka Mwanza Hotel Wazimwa Huku Chanzo cha moto bado kikiwa hakijafahamika
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima amesema kuwa moto uliozuka na kuunguza Club ya Dallas iliyo ndani ya Mwanza Hoteli umedhibitiwa huku akisema hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani.
Moto huo ulianza siku ya jana…
