Yanga, Coastal Union Jasho Litamwagika leo Jumanne Kwenye Uwanja wa Mkapa
LEO Jumanne kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, wanaume 22 watavuja jasho katika msako wa pointi tatu kati ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga dhidi ya Coastal Union.
Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa…
