Alikiba kuanza kazi leo Coastal
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda, amefunguka kuwa mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’, anatarajia kuanza kazi rasmi leo Jumatatu baada ya kumaliza majukumu yake ya kimuziki.
Alikiba licha ya kuwa…
