
Browsing Tag
college box
COLLEGE CONCERT YATIKISA SEKONDARI YA ALPHA
Meza kuu ilivyonekana ikiongozwa na Mkurugenzi wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo (wa pili kulia).LILE Tamasha kubwa kuliko yote nchini linalohusisha wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari na vyuo nchini, High Xcul &…
High School and College Box Concert…GLOBAL KUKIWASHA LEO ALPHA
LEO Jumamosi, Kampuni ya Global Publishers, inatarajiwa kufanya tamasha la aina yake katika Shule ya Sekondari ya Alpha iliyopo jijini Dar es Salaam.
Tamasha hilo limepewa jina la High School and College Box Concert ambalo…
College Box Kutikisa Alpha High School – DSM
Tumeanza na shule ya Sekondari ya Alpha ya jijini Dar es Salaam, tunakuja vyuoni na shule zote nchini. Wanafunzi wote wa sekondari na vyuoni mjiandae, hii si ya kukosa.
Ni Jumamosi hii, Agosti 24, 2019, hapo hapo katika Ukumbi wa Shule…