Serikali Yatangaza ‘Combinations’ Mpya Kwa Kidato Cha 5
SERIKALI imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa Wataalamu Nchini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI,…
